# Moyo wangu umetaabika na wala haupumziki Ayubu anaongelea moyo wake kama ni mtu # Ninarandaranda na ngozi yenye giza lakini si kusababu ya jua "Daima nipo katika hudhuni na giza" # ndugu wa mbwa mwitu, mshirika wa mbuni Ayubu anafananisha mateso yake na kuomba kwake msaada kama kilio cha mbweha na mbuni.