sw_tn_fork/job/30/14.md

13 lines
370 B
Markdown

# kama jeshi kwenye ufa mpana katika ukuta wa mji
Ayubu analinganisha hali yake na mji ambao upo katika mashambulizi wakati ukuta wake wa ulinzi unaufa
# heshima yangu imefukuziwa mbali kama kwa upepo
"upepo umepeperusha heshima yangu"
# mafanikio yangu yanatoweka kama wingu
Mali ya Ayubu imepotea kama wingi ambalo huonekana ghafula na hutoweka kutoka angani.