# kama jeshi kwenye ufa mpana katika ukuta wa mji Ayubu analinganisha hali yake na mji ambao upo katika mashambulizi wakati ukuta wake wa ulinzi unaufa # heshima yangu imefukuziwa mbali kama kwa upepo "upepo umepeperusha heshima yangu" # mafanikio yangu yanatoweka kama wingu Mali ya Ayubu imepotea kama wingi ambalo huonekana ghafula na hutoweka kutoka angani.