sw_tn_fork/exo/20/24.md

17 lines
341 B
Markdown

# madhabahu ya udongo
madhabahu iliyo tengenezwa kwa vitu vya ardhini, kama mawe, mchanga, au udogo
# ntakapotaka jina langu liheshimiwe
Hapa "jina" linasimama kwa niaba ya utu wa Mungu.
# msije juu ya madhabahu yangu kwa hatua zenu
"Msitengeneze madhabahu yenye ngazi"
# msioneshe sehemu zenu za siri
"kuonyesha mwili wenu wa uchi"