forked from WA-Catalog/sw_tn
565 B
565 B
Habari ya jumla
Musa bado anazungumza na watu wa Israeli.
utavunja madhabahu zao
"lazima uondoe madhabahu ya mataifa hayo" au lazima uharibu madhabahu ya mataifa hayo"
vunja katika vipande vipande
"vunja vipande vipande au kupasua"
utakata chini
"unapaswa kukata"
haribu majina yao
Hapa "majina yao" uwakilisha "kumbukumbu zao.
mahali hapo
Hii urejea kwa kila eneo ambapo mataifa waliabudu miungu mingine.
Hutamwabudu Yahwe Mungu wako kama hivyo
"Haupaswi kumwabudu Yahwe Mungu wako kama vile haya matiafa mengine waliabudu miungu yao"