sw_tn_fork/deu/12/03.md

29 lines
565 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Habari ya jumla
Musa bado anazungumza na watu wa Israeli.
# utavunja madhabahu zao
"lazima uondoe madhabahu ya mataifa hayo" au lazima uharibu madhabahu ya mataifa hayo"
# vunja katika vipande vipande
"vunja vipande vipande au kupasua"
# utakata chini
"unapaswa kukata"
# haribu majina yao
Hapa "majina yao" uwakilisha "kumbukumbu zao.
# mahali hapo
Hii urejea kwa kila eneo ambapo mataifa waliabudu miungu mingine.
# Hutamwabudu Yahwe Mungu wako kama hivyo
"Haupaswi kumwabudu Yahwe Mungu wako kama vile haya matiafa mengine waliabudu miungu yao"