sw_tn_fork/1sa/27/02.md

17 lines
206 B
Markdown

# Daudi akaondoka na kuvuka
"Daudi alichukua hatua; akavuka"
# kuvuka
"akavuka mpaka kati ya Israeli na Philistia"
# Watu mia sita
"600"
# Sauli akaambiwa
"mtu alimwambia Sauli" au "Sauli alisikia"