# Daudi akaondoka na kuvuka "Daudi alichukua hatua; akavuka" # kuvuka "akavuka mpaka kati ya Israeli na Philistia" # Watu mia sita "600" # Sauli akaambiwa "mtu alimwambia Sauli" au "Sauli alisikia"