sw_tn_fork/psa/071/012.md

33 lines
690 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# usiwe mbali nami
"kaa karibu nami"
# harakisha kunisaidia
"nisaidie mapema"
# Acha waaibike na kuangamia, wale walio na uhasama na maisha yangu
"Acha wale walio na uhasama na maisha yangu waaibike na kuangamizwa"
# Acha waaibike na kuangamia
"Waaibishe na kuwaangamiza"
# wale walio na uhasama na maisha yangu
"wale wanaonishtaki kwa kufanya kosa"
# acha wafunikwe na lawama na fedheha, wale wanaotafuta kuniumiza
"acha wale wanaotafuta kuniumiza wafunikwe na lawama na fedheha"
# acha wafunikwe kwa lawama na fedheha
"wafunike kwa lawama na fedheha." "na kila mtu awalaumu, na mtu yeyote asiwape heshima"
# wale wanaotafuta kuniumiza
"wale wanaotafuta njia za kunidhuru"