# usiwe mbali nami "kaa karibu nami" # harakisha kunisaidia "nisaidie mapema" # Acha waaibike na kuangamia, wale walio na uhasama na maisha yangu "Acha wale walio na uhasama na maisha yangu waaibike na kuangamizwa" # Acha waaibike na kuangamia "Waaibishe na kuwaangamiza" # wale walio na uhasama na maisha yangu "wale wanaonishtaki kwa kufanya kosa" # acha wafunikwe na lawama na fedheha, wale wanaotafuta kuniumiza "acha wale wanaotafuta kuniumiza wafunikwe na lawama na fedheha" # acha wafunikwe kwa lawama na fedheha "wafunike kwa lawama na fedheha." "na kila mtu awalaumu, na mtu yeyote asiwape heshima" # wale wanaotafuta kuniumiza "wale wanaotafuta njia za kunidhuru"