sw_tn_fork/psa/008/003.md

17 lines
552 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mbingu zako, ambazo vidole vyako
Vidole vya Mungu vinaashiria ni yeye. "mbingu ulizoumba"
# binadamu ana umuhimu gani hadi umtambue, au mtu hadi umwangalie?
Misemo hii inaelezwa kwa njia ya swali kuongeza msisitizo. "Ni ajabu kuwa unawawaza watu na kuwajali!"
# binadamu ... mtu
Misemo hii yote inamaanisha watu kwa ujumla.
# umewavika taji la utukufu na heshima
Utukufu na heshima zinazungumziwa kana kwamba ni mataji. Maneno "utukufu" na "heshima" yanakaribiana kwa maana. "umewapa utukufu na heshima" au "umewasababisha kuwa kama wafalme"