510 B
510 B
wakasambaza taarifa ... waksema
Kiwakilishi cha "wa" kinamaanisha wale wanaume walioipelelza nchi isipokuwa Kalebu na Joshua.
Ile nchi waliyoipeleleza
Neno "wa" linamaanishawanaume wote walioipeleleza nchi akiwemo Joshua na Kalebu
nchi inayowala watu wake
"ni nchi ya hatari sana" au ni nchi ambayo hao watu watatuua"
Anaki
Hili ni jina la mwanaume
tulionekana ... machoni pao
"katika maoni yetu"
tulionekana kama mapanzi machoni mwao
"tulikuwa wadogo kama mapanzi ukitulinganisha nao"