sw_tn/1ki/07/13.md

13 lines
431 B
Markdown

# Kumleta Huramu kutoka Tiro
Huramu aliupokea wito wa Sulemani wa kuja Yerusalemu
# mwana wa mjane ... baba yake alikuwa mtu wa Tiro
Mjane ni mwanamke ambaye mume wake alishafariki, na tunajiridhisha kuwa baba yake kweli alishakufa.
# Huramau alikuwa mwingi wa hekima na ufahamu na stadi
Neno "hekima naufahamu" yanamaanisha kitu kilekile, yametumika kuonyesha msisitizo. "Mungu alimjaza Huramu kwa hekima, ufahamu na stadi"