sw_tn/rom/08/37.md

20 lines
466 B
Markdown

# sisi ni zaidi ya washindi
"tunao ushindi kamili"
# katika yeye aliyetupenda
Aina ya upendo ambao Yesu alituonesha unaweza kuwekwa wazi. "kwasababu ya Yesu, aliyetupenda sana alikuwa tayari kufa kwa ajili yetu."
# Mimi nimekwisha shawishika
"Nimeshawishiwa" au "Nina ujasiri"
# mamlaka
Maana inaweza kuwa 1) mapepo (UDB) au 2) wafalme na watawala wa kibinadamu.
# wala nguvu
Maana inaweza kuwa 1) viumbe vya kiroho vyenye nguvu au 2) wanadamu wenye nguvu.