sw_tn/num/13/32.md

24 lines
510 B
Markdown

# wakasambaza taarifa ... waksema
Kiwakilishi cha "wa" kinamaanisha wale wanaume walioipelelza nchi isipokuwa Kalebu na Joshua.
# Ile nchi waliyoipeleleza
Neno "wa" linamaanishawanaume wote walioipeleleza nchi akiwemo Joshua na Kalebu
# nchi inayowala watu wake
"ni nchi ya hatari sana" au ni nchi ambayo hao watu watatuua"
# Anaki
Hili ni jina la mwanaume
# tulionekana ... machoni pao
"katika maoni yetu"
# tulionekana kama mapanzi machoni mwao
"tulikuwa wadogo kama mapanzi ukitulinganisha nao"