sw_tn/num/09/15.md

524 B

masikani iliposimamishwa

"Walawi walipoisimamisha ile masikani"

ile hema ya amri ya agano

Tazama 1:50

Lilionekana kama moto mpaka asubuhi

"Wakati wa usiku lile wingu lilionekana kama moto mkubwa mpaka asubuhi"

Liliendelea hivyo hivyo

"Lile wingu lilibaki hivyohivyo juu ya masikani"

na kuonekana kama moto wakati wa usiku

"lilionekana kama moto mkubwa wakati wa usiku."

Na kila wingu lilipochukuliwa

"lilipoondolewa" au "BWANA alipoliondoa wingu"

wingu liliposimama

"Wingu liliposimama kuendelea"