sw_tn/num/09/15.md

28 lines
524 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# masikani iliposimamishwa
"Walawi walipoisimamisha ile masikani"
# ile hema ya amri ya agano
Tazama 1:50
# Lilionekana kama moto mpaka asubuhi
"Wakati wa usiku lile wingu lilionekana kama moto mkubwa mpaka asubuhi"
# Liliendelea hivyo hivyo
"Lile wingu lilibaki hivyohivyo juu ya masikani"
# na kuonekana kama moto wakati wa usiku
"lilionekana kama moto mkubwa wakati wa usiku."
# Na kila wingu lilipochukuliwa
"lilipoondolewa" au "BWANA alipoliondoa wingu"
# wingu liliposimama
"Wingu liliposimama kuendelea"