sw_tn/num/09/11.md

29 lines
409 B
Markdown

# Watishika Pasaka
Tazama 9:4
# Sikuy a kumi na nne ya mwezi wa pili
"siku ya 14 ya mwezi wa 2"
# wa jioni
"wakati wa jua kuzama"
# Wataila
"Watamla mwanakondoo wa Pasaka"
# kwa mikate isiyotiwa chachu
"kwa mikate iliyotengenezwa bila amira" au
"kwa mikate ambayo haina amira"
# mboga chungu
hii ni mimea midogo midogo ambayo ina radha mbaya
# kuvuunja mifupa yake
"wasivunje mifupa yake yeyote"