# Watishika Pasaka Tazama 9:4 # Sikuy a kumi na nne ya mwezi wa pili "siku ya 14 ya mwezi wa 2" # wa jioni "wakati wa jua kuzama" # Wataila "Watamla mwanakondoo wa Pasaka" # kwa mikate isiyotiwa chachu "kwa mikate iliyotengenezwa bila amira" au "kwa mikate ambayo haina amira" # mboga chungu hii ni mimea midogo midogo ambayo ina radha mbaya # kuvuunja mifupa yake "wasivunje mifupa yake yeyote"