sw_tn/jer/49/01.md

445 B

Taarifa ya jumla:

Tazama uandisi wa shairi.

Je Israeli hana watoto? Hakuna mrithi katika Israeli?Kwa nini Meloki ameitawala D=Gadi na watu wake waishio kwenye miji yake?

"Kuna Waisraeli wengi wa kurithi nchi ya Israeli. Watu waabuduo miungu ya uongo, Moleki hatakiwi kuishi Gadi."

Hivyo tazama

Hii inaongeza msisitizo wa jambo linalofuata. "Tazama na sikiliza"

Siku zinakuja

"Siku za baadae"

Anayosema Bwana

"Alilosema Bwana"