# Taarifa ya jumla: Tazama uandisi wa shairi. # Je Israeli hana watoto? Hakuna mrithi katika Israeli?Kwa nini Meloki ameitawala D=Gadi na watu wake waishio kwenye miji yake? "Kuna Waisraeli wengi wa kurithi nchi ya Israeli. Watu waabuduo miungu ya uongo, Moleki hatakiwi kuishi Gadi." # Hivyo tazama Hii inaongeza msisitizo wa jambo linalofuata. "Tazama na sikiliza" # Siku zinakuja "Siku za baadae" # Anayosema Bwana "Alilosema Bwana"