sw_tn/jer/40/01.md

419 B

Haya ni maneno yaliyokuja kwa Yeremia toka kwa Bwana

"haya ndiyo aliyoyasema Bwana kwa Yeremia"

Nebuzaradani, kiongozi wa askari wa mfalme

Nebuzaradani aliyekuwa kiongozi wa askari wa mfalme.

Hapo ndiko alikopelekwa Yeremia na alipokuwa amefungwa minyororo

"Hapo ndipo askari wa Babeli walipompeleka Yeremia na kumfunga minyororo"

waliotakiwa kupelekwa uhamishoni Babeli

"ambao askari waliwatuma Babeli"