# Haya ni maneno yaliyokuja kwa Yeremia toka kwa Bwana "haya ndiyo aliyoyasema Bwana kwa Yeremia" # Nebuzaradani, kiongozi wa askari wa mfalme Nebuzaradani aliyekuwa kiongozi wa askari wa mfalme. # Hapo ndiko alikopelekwa Yeremia na alipokuwa amefungwa minyororo "Hapo ndipo askari wa Babeli walipompeleka Yeremia na kumfunga minyororo" # waliotakiwa kupelekwa uhamishoni Babeli "ambao askari waliwatuma Babeli"