# Msijidanganye wenyewe
Neno "wenyewe" linawaelezea mfalme Sedekia na watu wote wa Yuda.
# Hakika Wakaldayo wanatuacha
Watu wa Yuda wanafikiri kuwa watakuwa salama kwa sababu Wakaldayo wameondoka.
# watainuka
"watu waliojeruhiwa watainuka"