Neno "wenyewe" linawaelezea mfalme Sedekia na watu wote wa Yuda.
Watu wa Yuda wanafikiri kuwa watakuwa salama kwa sababu Wakaldayo wameondoka.
"watu waliojeruhiwa watainuka"