715 B
715 B
hili ni tamko la Bwana
Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:7.
wavuvi wengi.....wawindaji wengi
Bwana anawafananisha watu ambao watawachukua Waisraeli kuwa mateka kwa watu wenye ujuzi wa kunyang'anya mawindo yao.
macho yangu yapo juu ya njia zao zote
"Ninaangalia kila kitu wanachofanya"
hawawezi kujificha mbele yangu
Hapa neno "wao" linaweza kutaja kwa watu au kwa matendo yao. AT "hawawezi kujificha njia zao kutoka kwangu" au "naona yote wanayofanya"
Uovu wao hauwezi kufichika mbele ya macho yangu
"Naona dhambi zao zote"
kujaza urithi wangu na sanamu zao za machukizo
Kifungu hiki kinaelezea "uovu na dhambi" ule ambao watu walifanya.
urithi wangu
Hii inahusu nchi ya Israeli.