sw_tn/jer/14/10.md

20 lines
312 B
Markdown

# Taarifa za Jumla
Yeremia amekuwa akisali na kumwomba Bwana asiwaache peke yao
# wanapenda kutanga tanga
"wanapenda kutenda kwa njia iliyo kinyume na mapenzi ya Mungu"
# kukumbuka
"anakumbuka" au "anakumbuka"
# kwa niaba ya
"kusaidia" au "kusaidia"
# kulia
Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 14:1