# Taarifa za Jumla Yeremia amekuwa akisali na kumwomba Bwana asiwaache peke yao # wanapenda kutanga tanga "wanapenda kutenda kwa njia iliyo kinyume na mapenzi ya Mungu" # kukumbuka "anakumbuka" au "anakumbuka" # kwa niaba ya "kusaidia" au "kusaidia" # kulia Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 14:1