24 lines
469 B
Markdown
24 lines
469 B
Markdown
# Taarifa ya jumla
|
|
|
|
Bwana, kupitia nabii Yeremia, anazungumzia kuhusu uzinzi wa watu.
|
|
|
|
# kwa ajili ya jina lako
|
|
|
|
"ili kila mtu aweze kuona kwamba wewe ni mzuri sana na unaweka ahadi zako."
|
|
|
|
# tumaini la Israeli
|
|
|
|
Hii ni jina jingine kwa Bwana.
|
|
|
|
# yeye anayemwokoa
|
|
|
|
"mwokozi" au "yule anayemwokoa"
|
|
|
|
# kwa nini utakuwa kama ... kama shujaa ambaye hawezi kuokoa mtu yeyote?
|
|
|
|
Neno "kama" hapa linamaanisha "sawa na."
|
|
|
|
# aliyechanganyikiwa
|
|
|
|
hawawezi kuelewa au kufikiri wazi
|