# Taarifa ya jumla Bwana, kupitia nabii Yeremia, anazungumzia kuhusu uzinzi wa watu. # kwa ajili ya jina lako "ili kila mtu aweze kuona kwamba wewe ni mzuri sana na unaweka ahadi zako." # tumaini la Israeli Hii ni jina jingine kwa Bwana. # yeye anayemwokoa "mwokozi" au "yule anayemwokoa" # kwa nini utakuwa kama ... kama shujaa ambaye hawezi kuokoa mtu yeyote? Neno "kama" hapa linamaanisha "sawa na." # aliyechanganyikiwa hawawezi kuelewa au kufikiri wazi