572 B
572 B
wote wako sawa, ni kama wanayama na wapumbavu
"kila mmoja wao ni mpumbavu"
wanafunzi wa sanamu ambazo si chochote isipokuwa miti tu
"wanajaribu kujifunza toka kwa sanamu ambayo ni kipande cha mti"
sonara
"mtu mwenye ujuzi wa kazi za mikono"
Tarshishi ... ufazi
Ni maeneo ambayo dhahabu na fedha zinapatikana
dhahabu kutoka Ufazi ilyotengenezwa na sonara,ni kazi ya ustadi
"dhahabu kutoka Ufazi amabyo sonara mwenye ujuzi ameitengeneza"
mavazi yao ni rangi y samawi na urujuani
"watu waliivalisha sanamu kwa mavazi mazuri
matetemeko
"mtikisiko"