sw_tn/jer/02/12.md

12 lines
282 B
Markdown

# Sitajabuni, enyi mbingu kwa sababu ya hili! Tetemekeni na kuogopa
Msemamaji anageuka na kuziambia mbingu kama vile anaongea na mtu.
# wameziacha chemichemi za maji
"wameniacha mimi, chemichemi yao"
# kwa kuchimba mabirika kwa ajili yao
"kwa kuabudu miungu isiyokuwa chochote