# Sitajabuni, enyi mbingu kwa sababu ya hili! Tetemekeni na kuogopa Msemamaji anageuka na kuziambia mbingu kama vile anaongea na mtu. # wameziacha chemichemi za maji "wameniacha mimi, chemichemi yao" # kwa kuchimba mabirika kwa ajili yao "kwa kuabudu miungu isiyokuwa chochote