forked from WA-Catalog/sw_tn
40 lines
1.0 KiB
Markdown
40 lines
1.0 KiB
Markdown
# Taarifa ya Jumla:
|
|
|
|
Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania.
|
|
|
|
# Kwa mwanamuziki mkuu
|
|
|
|
"Hii ni kwa kiongozi wa muziki kutumia katika kuabudu"
|
|
|
|
# Zaburi ya Daudi
|
|
|
|
Maana zinazowezekana ni 1) Daudi aliiandika zaburi au 2) zaburi inamhusu Daudi au 3) zaburi iko katika mtindo wa zaburi za Daudi.
|
|
|
|
# Acha Mungu ainuke
|
|
|
|
Mungu kuanza kutenda inazungumziwa kana kwamba anasimama. "Acha Mungu aanze kutenda"
|
|
|
|
# acha adui zake watawanyike
|
|
|
|
"acha Mungu awafukuze adui zake"
|
|
|
|
# Kama moshi unavyopeperushwa, ndivyo hivyo uwapeperushe
|
|
|
|
Adui wa Mungu wanazungumziwa kana kwamba ni moshi unaoweza kupeperushwa kwa urahisi na upepo. "Waondoe kama upepo unavyopuliza moshi"
|
|
|
|
# kama nta inavyoyeyuka mbele ya moto
|
|
|
|
Adui wa Mungu wanazungumziwa kana kwamba ni nta inayoyeyuka kwa wepesi na moto. "wasababishe kupotea kama nta inavyoyeyuka mbele ya moto.
|
|
|
|
# waovu
|
|
|
|
Hii inamaanisha watu waovu kwa ujumla.
|
|
|
|
# wenye haki
|
|
|
|
Hii inamaanisha watu wenye haki kwa ujumla.
|
|
|
|
# wafurahi na kushangilia
|
|
|
|
Hii inamaanisha kitu kimoja na inasisitiza kiasi cha furaha walichokuwanacho.
|