sw_tn/deu/28/18.md

24 lines
637 B
Markdown

# Habari ya jumla
Musa anazungumza na Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa ni umoja.
# Habari ya jumla
Haya maneno yalitokea mapema katika sura.
# Utalaaniwa
Hii inaweza kusemwa kwa mfumo kazi. "Yahwe atawalaani"
# matunda ya mwili wako, matunda ya ardhi yako
Hii ni nahauu kwa ajili "watoto wako, mazao yako"
# ongezeko la ng'ombe wako, na kundi la kondoo wako
Kujirudiarudia mara mbili mbili kuko kwa njia mbili kusema kwamba Yahwe atawafanya wanyama wa Waisraeli wengi na imara.
# wakati unakuja ndani...wakati unaenda nje
Hii "merism" urejea kwa shughuli zote za kimaisha popote waendako.