sw_mat_text_reg/15/32.txt

1 line
448 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 32 Yesu akawaita wanafunzi wake na kusema, " Nimewaonea huruma umati, kwa sababu wamekuwa nami kwa siku tatu bila kula kitu chochote. Sitawaaga waende kwao bila kula, wasije wakazimia njiani." \v 33 Wanafunzi wake wakamwambia, "Ni wapi tunaweza kupata mikate ya kutosha hapa nyikani kushibisha umati mkuwbwa hivi?" \v 34 Yesu akawaambia, "Mna mikate mingapi?" Wakasema, "Saba, na samaki wadogo wachache." \v 35 Yesu akawaamuru umati uketi chini.