sw_mat_text_reg/26/47.txt

1 line
317 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 47 Wakati alipokuwa bado anaongea, Yuda mmoja wa wale Kumi na Wawili, akafika. Kundi kubwa lilifika pamoja naye likitokea kwa wakuu wa makuhani na wazee wa watu. Walikuja na mapanga na marungu. \v 48 Tena mtu aliyekusudia kumsaliti Yesu alikuwa amewapa ishara, akisema, "Yule nitakayembusu, ndiye yeye. Mkamateni."