sw_mat_text_reg/22/37.txt

1 line
151 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 37 Yesu akamjibu, "Lazima umpende Bwana kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote. \v 38 Hii ndiyo amri iliyo kuu na ya kwanza.