sw_mat_text_reg/13/54.txt

1 line
368 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 54 Kisha Yesu akafika katika mkoa wake na akawafundisha watu katika sinagogi. Matokeo yake ni kuwa walishangaa na kusema, "Ni wapi mtu huyu alipopata hekima hii na miujiza hii? \v 55 Mtu huyu siyo mwana wa seremala? Mariamu siyo mamaye? Na ndugu zake siyo Yakobo, Yusuph, Simoni na Yuda? \v 56 Na dada zake tunao hapa petu? Basi mtu huyu ameyapata wapi haya yote?".