sw_mat_text_reg/13/01.txt

1 line
204 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 1 Katika siku hiyo Yesu aliondoka nyumbani na kukaa kando ya bahari. \v 2 Umati mkubwa ulikusanyika kwa kumzunguka, aliingia ndani ya mtumbwi na kukaa ndani yake. Umati wote walisimama kando ya bahari.