sw_mat_text_reg/10/34.txt

1 line
261 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 34 Msifikiri kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani, lakini upanga. \v 35 Kwa kuwa nilikuja kumweka mtu apingane na baba yake, na binti dhidi ya mama yake, na mkwe dhidi ya mama mkwe wake. \v 36 Adui wa mtu watakuwa wale wa nyumbani mwake.