sw_mat_text_reg/27/23.txt

1 line
358 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 23 Naye akasema, "Kwa nini, ni kosa gani ametenda?" Lakini walizidi kupaza sauti hata juu mno, "Msulibishe." \v 24 Hivyo wakati Pilato alipoona hawezi kufanya lolote, lakini badala yake vurugu zilikuwa zimeanza, alitwaa maji akanawa mikono yake mbele ya umati, na kusema, "Mimi sina hatia juu ya damu ya mtu huyu asiye na hatia. Yaangalieni haya wenyewe."