sw_mat_text_reg/22/43.txt

1 line
213 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 43 Yesu akawajibu, "Ni kwa namna gani Daudi katika Roho anamwita Bwana, akisema, \v 44 'Bwana alimwambia Bwana wangu, "Kaa mkono wangu wa kuume, hadi nitakapowafanya maadui zako wawekwe chini ya miguu yako."'?"