sw_mat_text_reg/11/28.txt

1 line
289 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 28 Njoni kwangu, nyinyi nyote mnaosumbuka na mnaolemewa na mzigo mzito, nami nitawapumzisha. \v 29 Jitieni nira yangu na mjifunze kutoka kwangu, kwa kuwa mimi ni mnyenyekevu na mpole wa moyo na mtapata pumziko la nafsi zenu. \v 30 Kwa kuwa nira yangu ni laini na mzigo wangu ni mwepesi.