sw_mat_text_reg/09/23.txt

1 line
225 B
Plaintext
Raw Permalink Normal View History

\v 23 Na Yesu alipofika kwenye nyumba ya afisa, naye aliwaona wapiga tarumbeta na umati wa watu ulikuwa ukipiga kelele. \v 24 Naye akasema, "Tokeni hapa, kwa kuwa binti hajafa, bali amelala. Lakini wao walicheka na kumkebehi.