Thu Dec 01 2022 22:48:28 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-12-01 22:48:28 +03:00
parent 755316e539
commit b335ca2651
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 15 Ruba ana mabinti wawili, " Toa na Toa" wanalia. Kuna vitu vitatu ambavyo havitosheki, vinne ambavyo havisememi, "Inatosha": \v 16 Kuzimu, tumbo tasa, nchi yenye kiu kwa maji, na moto usiosema, "Inatosha." \v 17 Jicho ambalo linamdhihaki baba na kudharau utii kwa mama, macho yake yatadonolewa na kunguru wa bondeni, na ataliwa na tai. \v 15 Ruba ana mabinti wawili, " Toa na Toa" wanalia. Kuna vitu vitatu ambavyo havitosheki, vinne ambavyo havisemi, "Inatosha": \v 16 Kuzimu, tumbo tasa, nchi yenye kiu kwa maji, na moto usiosema, "Inatosha." \v 17 Jicho ambalo linamdhihaki baba na kudharau utii kwa mama, macho yake yatadonolewa na kunguru wa bondeni, na ataliwa na tai.