Thu Dec 01 2022 22:46:28 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-12-01 22:46:29 +03:00
parent c3c5b6a4fc
commit 755316e539
2 changed files with 2 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 13 Hicho ni kizazi jinsi gani macho yao yanakiburi na kope zao zimeinuka juu! - \v 14 kuna kizazi ambacho meno yao ni upanga, na mifupa ya taya zao ni visu, ili waweze kumrarua masikini wamtoe duniani na mhitaji atoke miongoni mwa wanadamu.
\v 13 Hicho ni kizazi jinsi gani macho yao yana kiburi na kope zao zimeinuka juu! - \v 14 kuna kizazi ambacho meno yao ni upanga, na mifupa ya taya zao ni visu, ili waweze kumrarua masikini wamtoe duniani na mhitaji atoke miongoni mwa wanadamu.

View File

@ -1 +1 @@
\v 15 Ruba anamabinti wawili, " Toa na Toa" wanalia. Kuna vitu vitatu ambavyo havitosheki, vinne ambavyo havisememi, "Inatosha": \v 16 Kuzimu, tumbo tasa, nchi yenye kiu kwa maji, na moto usiosema, "Inatosha." \v 17 Jicho ambalo linamdhihaki baba na kudharau utii kwa mama, macho yake yatadonolewa na kunguru wa bondeni, na ataliwa na tai.
\v 15 Ruba ana mabinti wawili, " Toa na Toa" wanalia. Kuna vitu vitatu ambavyo havitosheki, vinne ambavyo havisememi, "Inatosha": \v 16 Kuzimu, tumbo tasa, nchi yenye kiu kwa maji, na moto usiosema, "Inatosha." \v 17 Jicho ambalo linamdhihaki baba na kudharau utii kwa mama, macho yake yatadonolewa na kunguru wa bondeni, na ataliwa na tai.