sw_job_text_reg/08/16.txt

1 line
296 B
Plaintext

\v 16 Yeye huwa mti mbichi chini ya jua, na machipukizi yake huenea katika bustani yake yote. \v 17 Mizizi yake hujifunga funga kwenye rundo la mawe; huangalia mahali pazuri katikati ya mawe; \v 18 Lakini mtu huyu aking'olewa mahali pake, kisha mahali pale patamkana, na kusema, 'mimi sikukuona.'