sw_job_text_reg/36/17.txt

1 line
194 B
Plaintext

\v 17 Lakini wewe umejaa hukumu juu ya watu waovu; hukumu na haki umeziachilia. \v 18 Usiuache utajiri ukuvute katika udanganyifu; na sehemu kubwa ya rushwa isikugeuze upande kutoka katika haki.