sw_job_text_reg/28/20.txt

1 line
203 B
Plaintext

\v 20 Je hekima inatoka wapi? Mahali pa ufahamu ni wapi? \v 21 Hekima imejificha mbali na macho ya viumbe wote na ndege wa angani. \v 22 Mauti na uharibifu husema, 'Tumesikia tu tetesi kwa masikio yetu.'